Kikundi cha utabiri wa jamii kilichojumuisha watu wanne kimechaguliwa. Kikundi hiki kitahusika na usindikaji wa taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kazi yao ni kutoa taarifa hizi kwa lugha rahisi ambayo jamii inaweza kuzielewa kwa urahisi. Kuanzia mwezi wa nane wa mwaka huu, kikundi hiki kitatuma taarifa za hali ya hewa kwa jamii ya Kombo.
2023-01-23
Add New Comment