Warsha ilihudhuriwa na mkurugenzi wa jiji, muwakilishi kutoka GIZ, viongozi wa serikali, viongozi wa federation na wanajamii. Lengo lilikuwa ni kugawa vifaa vya usafi na kusisitiza umuhimu wa wanajamii kushirikiana na sekta binafsi kama CCI na serikali katika kulinda mto Mirongo kwa kufanya usafi, kutumia njia za asili na kutotupa taka hovyo.
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ameshiriki warsha ya mradi wa SASA unaofadhiliwa na GIZ na kutekelezwa na shirika la CCI
2026-04-01
Add New Comment