9 Katika kutekeleza mradi wetu wa SASA unaofadhiliwa na GIZ Mwanza tuliweza kuwashawishi jamii na shule mbalimbali kutumia njia za asili katika kutunza mazingira More Details
5 Tunaendelea na ulinzi wa mto Mirongo jijini Mwanza kwa kutumia njia za asili kwenye mradi wa SASA unaofadhiliwa na GIZ More Details
4 Katika kuhamasisha matumizi ya taarifa za hali ya hewa kwa wakulima, wafugaji, wavuvi nk kwa pamoja na manispaa na TMA More Details
6 Tukitembelea maeneo ya mto Msimbazi katika mitaa ya Karakata na Mji Mpya ili kujua maeneo ya kufanyia kazi katika mradi wetu wa NbS More Details
4 CCI KWA USHIRIKIANO NA HABITAT INATEKELEZA SULUHU ZA NYUMBA NAFUU KWA MASIKINI WA MJINI KATIKA MAKAZI YA CHANIKA, DARESSALAAM. More Details