Search
Dashboard
KUHUSU MRADI WA DARAJA

KUHUSU MRADI WA DARAJA

DARAJA (Developing Risk Awareness through Joint Action) ni mradi unaolenga kuboresha upatikanaji na matumizi ya taarifa muhimu za hali ya hewa na mabadiliko ya tabianchi kwa wakazi... More Details

KUCHOMEKA VYOO VYA SHIMO

Changamoto ya kuchomeka vyoo vya shimo ni kubwa hasa katika makazi holela ambapo mitaa imejaa na upatikanaji ni mdogo sana. Vifaa vya usafi vinavyotumika zaidi katika maeneo haya n... More Details

MFUMO RAHISI WA MAJI TAKA

Kama matokeo ya zoezi la kuhesabu kaya na utengaji ramani uliofanywa na CCI na jamii (Shirikisho), mfumo rahisi wa maji taka ulipendekezwa na jamii katika eneo la Vingunguti kama m... More Details

VYOO VYA UMMA

Ukosefu wa vyoo vya umma katika miji mikubwa nchini Tanzania unaweka afya ya mamilioni ya watu katika hatari, kwani wananchi wanapaswa kutafuta mahali pa kujisaidia kwenye mazingir... More Details

VYOO VYA KAYA NA VYA PAMOJA

Katika makazi holela ya mijini nchini Tanzania, nyumba moja mara nyingi hukaliwa na kaya kadhaa, kwa kawaida kati ya tatu hadi kumi na moja. Hali hiyo husababisha vyoo vinavyojengw... More Details

Usafi wa Mazingira 29

Usafi wa Mazingira

Usafi wa mazingira bado ni changamoto kubwa nchini Tanzania. Kwa mujibu wa utafiti wa DHS 2010, ni asilimia 22% tu ya kaya za mijini ndizo zenye vyoo vilivyoboreshwa. Kaya nyingi k... More Details

SOLID WASTE COLLECTION 4

SOLID WASTE COLLECTION

Shirikisho linahamasisha usafi kupitia utoaji wa elimu kutoka kaya hadi kaya na kupitia mikutano ya jamii. Timu za usafi na udhibiti wa taka ngumu hupewa mafunzo na CCI kwa ajili y... More Details

1 - 16 of ( 16 ) records